Kampuni ya Vunja Bei yatangazwa mshindi wa tenda ya jezi za Simba SC

Mtendaji Mkuu (CEO) wa Simba SC, Barbara Gonzalez ameitangaza kampuni ya Vunja Bei kuwa mshindi wa tenda ya jezi za wekundu hao.

Kwa mujibu wa Barbara mkataba wa tenda hiyo unagharimu shilingi bilioni mbili na ni wa miaka miwili. 
Aidha, Msanii wa Bongo Fleva ambaye ni Mbunge wa zamani wa Mikumi, Prof.Jay amesema jambo ambalo linafanywa na viongozi wa Simba ni zuri na lenye manufaa kwa wachezaji na Wanasimba kwa ujumla.

“Simba imeonyesha mfano wa kuwaamini vijana wa Kitanzania na kuwapa dhamana kubwa kwa sababu wanaamini vijana kwenda kuleta mabadiliko,"amesema Profesa Jay.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news