Ajali basi la NBS yaua na kujeruhi eneo la Itigi

Zaidi ya watu 38 wanaripotiwa kujeruhiwa huku wawili wakifariki kutokana na ajali ya basi la Kampuni ya NBS iliyotokea eneo la Itigi majira ya saa 11 jioni ya Mei 1, 2021, ANARIPOTI MWANDISHI DIRAMAKINI.
Basi hilo huwa linafanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Tabora ambapo taarifa zaidi tutakujuza.

Aidha, Mganga Mkuu wa Hospitali ya Misheni ya Mtakatifu Gaspati iliyopo katika mji mdogo wa Itigi mkoani Singida, Dkt.Anatory Rukonge amethibithisha kuwa, amajeruhi wanaendelea kupatiwa matibabu hospitali hapo.

Post a Comment

0 Comments