Semina juu ya umuhimu wa kushughulikia tatizo la upungufu wa lishe kwa watoto wadogo yawafikia Wabunge


Sehemu ya Wajumbe wa Kamati za Huduma na Maendeleo ya Jamii, Bajeti, Masuala ya Ukimwi pamoja na Kamati ya Utawala na serikali za Mitaa wakiwa katika Semina juu ya umuhimu wa kushughulikia tatizo la upungufu wa Lishe kwa watoto wadogo iliyofanyika hii leo kwenye ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Bunge).
Mjumbe wa Kamati ya Utawala na Serikali za Mitaa Mhe. Dkt. Pindi Chana akichangia jambo kwenye Semina juu ya umuhimu wa kushughulikia tatizo la upungufu wa Lishe kwa watoto wadogo iliyofanyika hii leo kwenye ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Bunge).
Afisa Mawasiliano wa UNICEF- Tanzania Ndg. Usia Ledama akiwasilisha Mada juu ya Hali ya Watoto Tanzania katika Semina kwa Wabunge iliyofanyika hii leo kwenye Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Bunge).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news