DC Kasesela aaga usiku huu baada ya Rais Samia kumteua Mohamed Hassan Moyo kwenda Iringa

Na Mwandishi Diramakini

Muda mfupi baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kumteua, Mohamed Hassan Moyo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Iringa, tayari DC anayeondoka ameaga usiku huu.
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Richard Atufigwege Kasesela ameaga Wana Iringa kama ifuatavyo;

Post a Comment

0 Comments