Maafisa wa Tume ya Utumishi wa Umma waendelea kuhudumia makundi mbalimbali


Bibi Juliana J. Kombe (kulia) Afisa Rasilimali Watu, Idara ya Rufaa na Malalamiko (Sehemu ya Serikali za Mitaa) Tume ya Utumishi wa Umma, akitoa ufafanuzi kuhusu masuala ya nidhamu kwa Bw. Severine J. Ibata (aliyekaa katikati) kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa na Bw. Said Kwariko (kushoto) kutoka Halmashauri ya Mji wa Kondoa waliofika katika Ofisi ya Tume ya Utumishi wa Umma, Jijini Dar es Salaam leo kupata ufafanuzi wa masuala mbalimbali ya kiutumishi. Elimu kwa wadau wa Tume ya Utumishi wa Umma inaendelea kutolewa. (Picha na PSC).

Post a Comment

0 Comments