MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU BUNGENI JIJINI DODOMA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Bashiru Ally, Bungeni jijini Dodoma, Juni 14, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile, Bungeni jijini Dodoma, Juni 14, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega, Bungeni jijini Dodoma, Juni 14, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Madiwani kutoka Chalinze, ambao walitembelea Bunge jijini Dodoma kwa mwaliko wa Mbunge wa Jimbo hilo, Ridhiwani Kikwete. Juni 14, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wageni kutoka Shule ya Msingi na Sekondari ya Saint Jude iliyopo Arusha, ambao walitembelea Bunge jijini Dodoma kwa mwaliko wa Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo. Juni 14, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wageni kutoka Shule ya Msingi na Sekondari ya Saint Jude iliyopo Arusha, ambao walitembelea Bunge jijini Dodoma kwa mwaliko wa Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo. Juni 14, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 14, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Nyang’wale, Hussein Amar, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 14, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.

Post a Comment

0 Comments