Rais Samia azungumza kwa njia ya mtandao na Mtendaji Mkuu wa Global Fund
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwa njia ya mtandao na Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Kimataifa wa Kupambana na UKIMWI, Kifua Kikuu na Malaria- GLOBAL FUND, Bw. Peter Sands leo Agosti 6,2021.