TFF yamlilia Babu Ally Seif


Babu Ally Seif (28) aliwahi kuchezea Yanga kwa muda mfupi mwaka 2017.

Kifo chake kilitokea jijini Arusha baada ya kuugua kwa muda mfupi.

Ilidaiwa kuwa. Babu alikuwa anasumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa muda mrefu na baada ya hali yake kubadilika ghafla alipelekwa hospitali ambako umauti ulimkuta.

Babu Ally aliyechezea Yanga Juni 2017 kwenye michuano ya SportPesa Super Cup chini ya kocha Juma Mwambusi na Nsajigwa Shadrack baada ya Mzambia George Lwandamina kuondoka - lakini akaondoka baada ya mashindano hayo kwenda Mbeya City.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news