Makamu wa Rais afika nyumbani kwa William Ole Nasha kutoa pole

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akiweka saini katika kitabu cha maombolezo ya aliyekuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu – Uwekezaji Marehemu William Ole Nasha mara alipofika nyumbani kwa marehemu Medeli jijini Dodoma. (Kulia ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Mbonimpaye Mpango leo Septemba 29,2021. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akimfariji Bi. Asha Mlekwa mke wa marehemu William Ole Nasha aliyekuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu – Uwekezaji alipofika nyumbani kwa marehemu Medeli – jjini Dodoma leo Septemba 29,2021.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akiwafariji watoto wa marehemu William Ole Nasha aliyekuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu – Uwekezaji, alipofika nyumbani kwa marehemu Medeli jijini Dodoma leo Septemba 29,2021. (Picha zote na Ofisi ya Makamu wa Rais).

Post a Comment

0 Comments