Mbunge wa Namtumbo apata ajali

NA MWANDISHI MAALUM

Mbunge wa Jimbo la Namtumbo Mhe. Vita Kawawa amepata ajali katika eneo la Nalasi wilayani Tunduru akiwa kwenye ziara ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Ndugu Christina Mndeme ambaye ana ziara leo huko Namtumbo, mkoani Ruvuma.


Mheshimiwa Mbunge alikuwa na watu wengine watatu kwenye gari na wote wametoka salama.( Picha na CCM Makao Makuu).

Post a Comment

0 Comments