Mwinjilisti wa Kimataifa Alphonce Temba arejea ombi lake kwa Rais Samia kuhusu fedha za wanachama wa DECI

 

Muhubiri na Mwinjilisti wa Kimataifa wa Kanisa la Penuel Healing Ministry la Ubungo Kibangu jijini Dar es Salaam, Alphonce Temba amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuangalia namna ya kusaidia ili wanachama wa iliyokuwa kampuni ya Development Entrepreneurship for Community Initiative (DECI) waweze kulipwa fedha zao. Tazama video hapo juu kwa kina.Zinazohusiana soma hapa>>>

Post a Comment

0 Comments