Rais Samia aelekea New York nchini Marekani kuhudhuria Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa Rais Dk. Philip Isdor Mpango katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam kabla ya kuondoka kwenda New York nchini Marekani kuhudhuria Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa leo Septemba 18, 2021. (Picha na Ikulu).

Post a Comment

0 Comments