Dkt.Msolla, Mangungu waenguliwa kuwania Uwenyekiti wa Bodi ya Ligi kwa kukosa sifa

NA MWANDISHI DIRAMAKINI

Mwenyekiti wa Yanga SC, Dkt. Mshindo Msolla na Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu wameenguliwa kuwania Uenyekiti wa Bodi ya Ligi kwa kukosa sifa.
Wakati Mangungu hakutokea kwenye usaili, Msolla ameshindwa kuwasilisha nakala halisi ya vyeti vya taaluma.
Hata hivyo, kuenguliwa kwao kunafanya sasa nafasi hiyo kubakiwa na Mgombea mmoja tu aliyepita, naye ni Steven Mnguto ambaye anatetea nafasi hiyo.

Post a Comment

0 Comments