Zitto Kabwe kuzungumza na Taifa kesho

NA MWANDISHI DIRAMAKINI

Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kuwa, kesho Oktoba 31, 2021 anatarajia kuzungumza na Taifa kupitia waandishi wa habari.
"Kesho saa tano asubuhi tutazungumza na Watanzania kuhusu hali ya siasa nchini na Afrika kwa mtazamo wa Chama cha ACT Wazalendo na kama kawaida yetu kutoa mapendekezo ya majawabu ya changamoto mbalimbali,"ameeleza Zitto Kabwe.

Post a Comment

0 Comments