CAF yaiengua Biashara United kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika


Shirikisho la Soka Afrika limeiengua timu ya Biashara United kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa kushindwa kutokea uwanjani mjini Benghazi nchini Libya Oktoba 23, mwaka huu.

Post a Comment

0 Comments