Mheshimiwa Zainabu Zuberi Sige awaongoza madiwani kwenda kumpongeza Rais Samia

Baadhi ya waheshimiwa Madiwani wa Viti Maalum kutoka Halmashauri ya Mji wa Babati na Babati Vijijini mkoani Manyara wakiongozwa na Mheshimiwa Zainabu Zuberi Sige, Mhe.Zainabu Dodo, Mhe. Lucy Maanda, Mhe. Mariam Kwimba na Aziza Mohammed wakirudi nyumbani baada ya kushiriki Mkutano wa UWT Taifa uliofanyika Maisara Zanzibar wa kumpongeza Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mama Samia Suluhu Hassan kwa kufanya kazi iliyotukuka hivi karibuni. (Picha na Mary Margwe).

Post a Comment

0 Comments