Mzigo wa kwanza wa Parachichi kutoka Tanzania umewasili nchini Afrika Kusini, umekaguliwa na kuthibitishwa kukidhi viwango vya ubora na mamlaka za afya nchini humo

KAZI IENDELEE...Wizara ya Kilimo kupitia uongozi mahiri wa Waziri Prof. Adolf Mkenda kwa kushirikiana na wasaidizi wake umeendelea kusaka fursa mbalimbali na kuyapa thamani mazao mbalimbali yanayozalishwa hapa nchini yakiwemo matunda.
Juu ni muonekano wa picha za mzigo wa kwanza wa Parachichi kutoka Tanzania ambao umewasili nchini Afrika Kusini, baada ya kukaguliwa umethibitishwa kukidhi viwango vya ubora na Mamlaka za afya nchini Afrika Kusini. Chanzo: Wizara ya Kilimo Tanzania.

Post a Comment

0 Comments