Nafasi mbalimbali za ajira Ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam

NA MWANDISHI MAALUM

UBALOZI wa Marekani nchini Tanzania ambao umekuwa ukitoa kipaumbele kwa watu wote katika nafasi mbalimbali za ajira unakutangazia nafasi zifuatazo;
Nafasi: Mfanyakazi Anayeshughulikia Masuala ya Forodha (GSO Customs Expeditor)

Namba ya tangazo: DaresSalaam-2021-047

Tarehe ya mwisho kuomba: Desemba 15, 2021

-----------------------

Nafasi: Msimamizi wa Bohari [Warehouse Worker (Foreman) (GSO)]

Namba ya tangazo: DaresSalaam-2021-048

Tarehe ya mwisho kuomba: Desemba 15, 2021

------------------

Nafasi: Mfanyakazi wa Bohari/Dereva wa Lori (Warehouse Worker / Truck Driver (GSO))

Namba ya tangazo: DaresSalaam-2021-049

Tarehe ya mwisho kuomba: Desemba 15, 2021

-------------------

Nafasi: Mtunzastoo/bohari (Storekeeper (GSO))

Namba ya tangazo: DaresSalaam-2021-050

Tarehe ya mwisho kuomba: Desemba 15, 2021

-------------------

Nafasi: Karani wa Ugavi (Supply Clerk (GSO))

Namba ya tangazo: DaresSalaam-2021-051

Tarehe ya mwisho kuomba: Desemba 15, 2021

-------------------

Nafasi: Karani wa Ugavi anayeshughulia bidhaa zinazoazimishwa (Supply Clerk-Welcome Kit and Loanable Property Supply Clerk (GSO))

Namba ya tangazo: DaresSalaam-2021-052
Tarehe ya mwisho kuomba: Desemba 15, 2021

Kwa habari zaidi http://bit.ly/36QUjeh

Post a Comment

0 Comments