Magazeti leo Agosti 11,2026

Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga (Mb), amewataka watendaji wa Serikali na taasisi za udhibiti kuwa wawezeshaji wa biashara badala ya kufungia biashara, akisema hatua hiyo ni muhimu katika kulinda mitaji na maslahi ya wananchi.
Kapinga ametoa agizo hilo Agosti 10, 2026, wakati akizindua ghala la kuhifadhia mazao la Halmashauri ya Mji wa Masasi, lililopo Kata ya Mtandi lililo gharimu takribani shilingi milioni 921.

“Ukikuta kiwanda hakina mifumo mizuri usikifungie, kisaidie kiweze kurudi kwenye ramani; ukikuta mtu hana leseni ya biashara, msaidie apate leseni badala ya kumfungia biashara.”

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here