Ni Rais Dkt.Mwinyi na DIASPORA kesho,usipange kukosa tukio hili la Kitaifa mubashara

WATCH Tanzania inakualika kushiriki na kufuatilia mazungumzo maalum baina ya Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi na Diaspora yatakayofanyika kupitia mtandao wa Zoom Disemba 31, 2021 (Ijumaa) kuanzia saa 10 kamili hadi 12:00 jioni. 
Muda ukifika utaweza kujiunga ili kushiriki na kufuatilia moja kwa moja mazungumzo hayo kwa kubofya link hii ~ shorturl.at/qstB3

Au kupitia 

Meeting ID: 86968751802

Passcode: 927156
Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Clouds Digital, Global TV Online, Dar Mpya TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

#DiasporaChachuYaMaendeleo!

Post a Comment

0 Comments