🔴 LIVE:Kuagwa kwa miili ya Wanahabari waliofariki katika ajali mjini Busega

Ajali hiyo ya Januari 11,2022 ilihusisha magari mawili likiwemo la abiria aina ya Toyota Hiace na jingine lenye namba za usajili STK 8140 mali ya Serikali lililokuwa limebeba waandishi wa habari mkoa wa Mwanza wakitokea Mwanza kuelekea Ukerewe kupitia Bunda, Mara baada ya kugongana uso kwa uso.

Post a Comment

0 Comments