TANESCO yaungana na Rais Dkt.Mwinyi, wananchi kuadhimisha Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar


Uongozi na wafanyakazi wa Shirika la Umeme nchini Tanzania (TANESCO) unaungana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi, Wazanzibari na Watanzania wote kwa ujumla kuadhimisha Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Post a Comment

0 Comments