Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma amemtembelea na kumjulia hali Mwanamuziki nguli nchini, Hassan Bitchuka nyumbani kwake Sinza Mori, jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri Mwinjuma alimtembelea mwanamuziki huyo Machi 9, 2026 na kufikisha salamu kutoka kwa Rais Dk Samia Suluhu Hassan za kumtakia kila la heri na kumuombea afya njema ilia pone haraka. Rais Samia pia ametoa kiasi cha shilingi milioni 10 kwa mwanamuziki huyo kwa ajili ya kumtia moyo kipindi hiki cha matibabu.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo



















