Rais Samia atembelea banda la Benki ya Equity

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan alitembelea banda la Benki ya Equity lililopo Mlimani City juzi kwenye Maadhinisho ya Wiki ya Maji ambako alipata maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji, Bi. Isabela Maganga juu ya namna Benki ya Equity ilivyo mstari wa mbele kuhakikisha inachangia juhudi za Serikali katika upatikanaji wa maji safi na salama nchini.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news