Sababu kubwa za bei ya mafuta kupanda duniani

Kwanza ni ongezeko la uhitaji mkubwa wa mafuta baada ya UVIKO-19 kupungua na pili ni mgogoro wa Urusi na Ukraine, mafuta yote yanayotoka Urusi yamezuiwa kuingia katika soko la Dunia.

Post a Comment

0 Comments