Balozi Prof.Adelardus Kilangi awasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Brazil

Balozi wa Tanzania nchini Brazil, Mhe. Prof. Adelardus Kilangi akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Brazil, Mhe. Jair Bolsonaro wakati wa hafla iliyofanyika hivi karibuni katika Ofisi za Rais za Palacio Do Planalto zilizopo Brasilia, Brazil.
Mhe. Rais Bolsonaro akionesha Hati za Utambulisho za Mhe. Balozi Kilangi mara baada ya kuzipokea wakati wa hafla iliyofanyika hivi karibuni katika Ofisi za Rais za Palacio Do Planalto zilizopo Brasilia, Brazil.
Mhe. Balozi Kilangi akiwa katika mazungumzo na Mhe. Rais Bolsonaro mara baada ya kuwasilisha hati zake za utambulisho.
Mhe. Balozi Kilangi akiwa na Mhe. Rais Bolsonaro.

Post a Comment

0 Comments