Kama mtoto wangu amechaguliwa kwenda Kidato cha Tano na yeye anapenda kwenda chuo utaratibu upoje?

KWA mujibu wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), mwanafunzi aliyechaguliwa kwenda Kidato cha Tano na anahitaji kwenda Chuo anapaswa kuomba kupitia dirisha la NACTE litakapofunguliwa, kwani hakuna uhamisho wa kutoka Kidato cha Tano kwenda Chuo.


Post a Comment

0 Comments