Kongamano la AIESEC lafanyika Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi

NA DIRAMAKINI

KONGAMANO la kuwajengea uwezo wanafunzi wa vyuo vikuu nchini ili kupata ajira sambamba na kuchangamkia fursa mbalimbali zinazojitokeza ikiwemo kujiajiri lililoandaliwa na Taasisi ya AIESEC Tanzania na kudhaminiwa na kampuni ya madini ya Barrick kwa kushirikiana na wadau mbalimbali limefanyika katika Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi mkoani Kilimanjaro.
Meneja Raslimali Watu wa mgodi wa Bulyanhulu, Chrispin Ngwaji,akiongea katika kongamano la AIESEC lililofanyika katika Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU).

Meneja Raslimali Watu wa mgodi wa North Mara, Erick Wambura, akiongea katika kongamano la AIESEC lililofanyika katika Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU)
Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo kikuu cha Ushirika Moshi wakifuatilia mada wakati wa kongamano hilo.
Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo kikuu cha Ushirika Moshi wakifuatilia mada wakati wa kongamano hilo.
Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo kikuu cha Ushirika Moshi wakifuatilia mada wakati wa kongamano hilo.
Baadhi ya wanafunzi wa MoCU katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa AIESEC Tanzania na Barrick wakati wa kongaman hilo.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news