Makubwa aliyoyafanya Prof.Edward Hoseah akiwa Rais wa TLS ndani ya mwaka mmoja

NA DIRAMAKINI

CHAMA cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kinatarajia kufanya Uchaguzi Mkuu katika nafasi ya Rais, Makamu wa Rais na Mweka Hazina.
Safari ya Kitaaluma ya Prof.Edward Hoseah
Uzoefu katika shughuli za uongozi
Uzoefu na ubobezi katika sheria
Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika Mei 27, mwaka huu jijini Arusha, ambapo tayari kampeni za wagombea urais zimeanza tangu Aprili 15, mwaka huu na zinatarajiwa kuhitimishwa Mei 26, mwaka huu siku ambayo pia utafanyika uchaguzi katika nafasi nyingine ikiwemo ya viongozi wa kanda.

Post a Comment

0 Comments