Miaka 97 ya unyenyekevu na kutopenda makuu, Heri ya Kuzaliwa Mzee Ali Hassan Mwinyi

NA DIRAMAKINI

RAIS mstaafu wa Awamu ya Tatu wa Zanzibar na Rais wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mzee Ali Hassan Mwinyi ametimiza umri wa miaka 97 tangu alipozaliwa Mei 8,1925.
DIRAMAKINI inamuomba Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema aendelee kumjalia, Mzee Mwinyi afya njema. Unyenyekevu na kutopenda mambo makuu ni kati ya mambo ambayo Mwenyenzi Mungu amemkirimia.Heri ya kuzaliwa Mzee Mwinyi.

Post a Comment

0 Comments