MSANII CHABADE KUTOKA RWANDA AACHIA VIDEO MPYA YA 'WINE'

NA DIRAMAKINI

DADDY Chabade a.k.a Chabade ni msanii wa muziki kutoka nchini Rwanda ambaye harakati zake za kimuziki na maisha yake yapo nchini Finland.
Chabade ni msanii wa muziki, mwandishi wa nyimbo na pia ni mtu mwenye ndoto kubwa ya kufanya kazi na wasanii kutoka Afrika Mashariki ikiwemo nchini Tanzania bila kusahau watayarishaji wa muziki kutoka Tanzania.

Chabade baada ya kuachia ngoma yake ya TWIKA mwaka uliopita sasa amerejea tena na kazi yake mpya ambayo ameipa jina la WINE.Video ikiwa imeongozwa na Jayrder.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news