Mtoto wa Kaka yangu amesaidiwa kuacha pombe, dawa za kulevya na kurudishwa kazini

NA MWANDISHI WETU

MWAKA 2000 kaka yangu kipenzi alifariki dunia na kuacha watoto watatu. Watoto wawili wa kike na mmoja wa kiume.

Kifo cha kaka yangu kiliiuzunisha familia yetu kwa ujumla, hadi sasa hivi kwa sababu yeye ndiye alikuwa kiongozi wa familia yetu, pia alikuwa amebeba majukumu makubwa sana tangu Baba yetu na mama wafariki dunia pia.

Baada ya yeye kutoka majukumu yote yalihamia kwangu.Majukumu ambayo ni kuhakikisha wadogo zetu wanasoma na kuhakikisha watoto wake watatu wanapata elimu bora ili baadae waweze kuwa na familia bora na kujitegemea.

Baada ya miezi sita tangu kaka yangu tumpumzishe katika nyumba yake ya milele, mke wake Janeth ambaye ni shemeji yangu mimi aliolewa na mwanaume mwingine, hivyo watoto wa kaka yangu niliwahamisha kutoka walipokuwa wanaishi na mama yao kisha nikawaleta katika familia yangu na kuanza maisha mapya.

Kitendo cha shemeji yangu kuolewa mimi sikuwa na pingamizi lolote maana alikuwa bado mdogo, hivyo damu ilikuwa inachemka bado na kingine alikuwa anahitaji mume wa kuwa nae kwa ajili ya kupata raha ya duniani kama wanawake wengine.

Watoto wa kaka yangu niliwatafutia shule kisha wakaanza masomo.Nilijitahidi kadri ya uwezo wangu kuhakikisha wanapata kila kitu walichokiitaji katika masomo yao.

Hata hivyo, kwa upande wao hawakuniangusha hata kidogo katika masomo yao maana kila mmoja alikuwa anapata alama zinazomuruhusu kwenda hatua nyingine, hata darasani walikuwa wanapata nafasi nzuri kabisa.

Mwaka 2016 mtoto wa kwanza wa kaka yangu ambaye ni Zabloni alijiunga na masomo ya elimu ya juu, hivyo kwangu nilifurahia sana kuona anafikia hatua ile, nilitamani kaka yangu angekuwepo duniani ili afaidi matunda ya mtoto wake, pia nilijua akimaliza masomo yake na kupata kazi nitasaidiana nae kuhakikisha wadogo zake pia wanafika alipofika yeye.

Kipindi cha likizo nilijitahidi kumtafutia ofisi mbalimbali kwa ajili ya kumuandalia mazingira ya kazi akimaliza masomo yake.

Mwaka 2019, Zabloni alihitimu masomo yake ya chuo kikuu, kutokana na mazingira niliyomuandalia akiwa bado anasoma akuweza kukaa mtaani zaidi ya miezi mitatu, alikuwa tayari ameshapata kazi.

Alipata kazi kwa haraka, kwa sababu nilivyokuwa natembea nae katika ofisi mbalimbali wengi walikuwa wanamfahamu hata ofisini kwangu, wengi walijua ndiye kijana wangu wa kwanza kutokana na jinsi alivyopnipenda na kunieshimu kila sehemu.

Zabloni alivyopata kazi, nilifurahi sana nakumbuka siku hiyo nilinunua bia nikajipongeza mwenyewe na kujiwekea ahadi kuwa na wadogo zake wawili wasichana nitahakikisha wanasoma na kupata kazi, ila Zabloni alivyopata kazi alianza kubadilika sana kiasi ambacho mzazi kama mzazi ukimuona mtoto wako anafanya vile utatokwa chozi la maumivu na machungu sana.

Alianza kutumia pombe,sigara,dawa za kulevya na bangi hivyo maisha niliyomuandalia yakawa tofauti na maisha aliyomo.

Marafiki wa marehemu kaka yangu walianza kunifuata mara kwa mara kuniuliza kipi Kimemkuta Zabloni,hata mimi mwenyewe sikujua kipi kimemkuta, muda huo ushirikiano ambao nilihisi atatoa kwa wadogo zake hakuwapa, hata daftari alikuwa hawezi kuwapa zaidi pesa yake yote ilikuwa inaishia kwenye kulewa kila wakati.

Hazikupita siku nyingi hata kazini alifukuzwa na kurudi nyumbani tena akawa mzigo kwangu. Kila mara nilikuwa natembelea kaburi la kaka yangu na kumuomba anisamehe kwa sababu maisha ambayo Zabloni anaishi siyo maisha mimi nilitaka aishi, hata mimi sijui kipi cha kumfanyia Zabloni,jamii yote imenitazama mimi wakati sina hatia.
Siku moja nipo nyumbani rafiki wa marehemu kaka yangu alikuja nyumbani na kuniambia kuna mtu anaweza kutusaidia Zabloni kuacha kutumia pombe,bangi na dawa za kulevya kwa muda mfupi sana. 

Bila kusita alichukua simu yake na kunionesha website ya Kiwangadoctors ambayo ni www.kiwangadoctors.com katika website ya Kiwangadoctors tulipata namba ya simu ambayo ni +254 769404965 kisha tukawasiliana na Dr.Kiwanga.

Dr.Kiwanga alitueleza kitu kilichomkuta Zabloni na kisha kutupatia jinsi ambayo Zabloni atasaidiwa. Na baada ya siku kadhaa tumewesiliana na Dr.Kiwanga, Zabloni alianza kubadilika taratibu na kwa sasa hatumii kitu chochote kinacholewesha na kazini amerudishwa

Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali kama kupandishwa cheo kazini,kusafirisha nyota yako,kurudisha mpenzi wako aliyekuacha na mengine mengi.

Wasiliana na Kiwangadoctors kwa namba +254 769404965,Barua pepe kiwangadoctors@gmail.com na kujua mengine kuwahusu tembelea website www.kiwangadoctors.com.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news