NI KESHO SAA TANO KAMILI ASUBUHI:Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Mawakili Tanzania (TLS)

WATCH Tanzania inakualika kushiriki Mkutano Maalum utakaofanyika Mei 24, 2022 (Jumanne) kupitia Mtandao wa Zoom kuanzia saa 5 kamili Asubuhi hadi saa 7:30 Mchana.Mada; Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Mawakili Tanzania (TLS)
Muda ukifika (Saa 5 kamili Asubuhi, Mei 24, 2022 - Jumanne) utaweza kujiunga na mkutano kwa kubofya https://bit.ly/3yEF2P3

Au kupitia
Meeting ID: 847 1620 6798

Passcode: 916286

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Clouds Digital, Global TV Online, Dar Mpya TV, Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Karibu tujadili Matarajio ya wadau Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Mawakili Tanzania (TLS).

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania - TADB na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania

Post a Comment

0 Comments