Prof.Edward Hoseah katika utekelezaji wa ahadi 2021-2022

NA DIRAMAKINI

RAIS wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) ambaye anatetea kiti chake, Profesa Edward Hoseah ni kati ya viongozi ambao wamefanikiwa kushirikiana na wenzake kuiendesha taasisi hiyo kwa mafanikio makubwa ndani ya mwaka mmoja.
Miongoni mwa mafanikio hayo ni pamoja na uchambuzi wa miswada mbalimbali, kwani TLS imeendelea kutoa maoni kuhusu miswada mbalimbali inayowasilishwa bungeni kupitia kamati yake ya Katiba na Sheria pamoja na kesi zenye maslahi ya umma, na imeendelea kutoa msaada wa kisheria.

Mfahamu kwa kina Profesa Edward Hoseah hapa;

Post a Comment

0 Comments