NA DIRAMAKINI
UONGOZI wa Klabu ya Yanga yenye maskani yake katika Mtaa wa Jangwani jijini Dar es Salaam umetangaza kuachana na kiungo mshambuliaji raia wa Burundi, Saido Ntibazonkiza.

Klabu ya Yanga imemtakia kila la kheri Mchezaji huyo katika maisha yake ya soka huko atapoelekea baada ya kuwa amemalizana na Yanga.
0 Comments