Mkutano Na.02 wa Tume ya Utumishi wa Umma kufanyika Juni 20 hadi Julai 8,2022 Dodoma

NA DIRAMAKINI

MWENYEKITI wa Tume ya Utumishi wa Umma, Mheshimiwa Jaji mstaafu Hamisa Hamis Kalombola anatarajia kuongoza Mkutano wa Tume Na.02 kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022 utakaofaofanyika jijini Dodoma kuanzia Juni 20,2022 hadi Julai 8, 2022.
Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma, Jaji mstaafu Mheshimiwa Hamisa Hamis Kalombola (katikati) akimsikiliza Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma, Bw. Mathew M. Kirama (kulia). Picha na Maktaba. 

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini kupitia Tume ya Utumishi wa Umma, Bw.Richard M.Cheyo kama ifuatavyo;

Post a Comment

0 Comments