Picha:Makamu wa Rais Dkt.Mpango akiagana na Katibu wa Baraza la Diaspora la Watanzania Duniani


Katibu Mkuu wa Baraza la Diaspora Watanzania Duniani (TDC GLOBAL),ndugu Adolph Nyagabona Makaya akiagana na Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Baada ya Mkutano wa Mhe. Makamu wa Rais na viongozi wa Diaspora uliofanyika Stockholm nchini Sweden tarehe 4 Juni, 2022.

Post a Comment

0 Comments