Walitaka kunipora mali za Baba yangu kishirikina

NA MWANDISHI WETU

NAITWA Hussein, mkazi wa Moshi mkoani Kilimanjaro, nakumbuka mwaka 2015 nilifiwa na Baba yangu, ilikuwa kwenye ajali ya gari. Baba alifariki yeye na aliyekuwa mkewe baada ya kuachana na Mama yangu.
Ilikuwa ni uzuni kwangu, maana bado nilikuwa ndio nimemaliza Chuo Kikuu kwa hiyo bado nilikuwa sijaweza kuwa na maisha mazuri ya kusema naweza kujitemea moja kwa moja.

Nakumbuka kuna vitu mzee aliviacha, vingine aliandika kwa jina langu maana mimi nilikuwa mtoto wa kwanza kwake, hivyo vyote vingekuwa ni mali zangu.

Hakubahatika kufunga ndoa na mama yangu, baada ya kuachana na Mama, alioa mke mwingine ambaye naye alizaa naye watoto wawili, waliachana pia na akaenda kuoa mwanamke mwingine ambaye alifariki nae katika ajali ya gari.

Kilichonishangaza, baada ya kumzika Baba nilijikuta nimeondoka nyumbani, sikurudi tena na sikufuatilia nini kiliendelea baada ya hapo, hivyo sikuweza kujua zile mali zipo katika hali gani.

Baada ya kipindi kirefu kupita ndio nikakumbuka kuna vitu Mzee aliniachia, bahati mbaya tayari vitu vyote vipo chini ya yule mwanamke mwingine aliyezaa nae watoto wawili, na sijui chochote kilichotokea upande wa sheria na mirathi.

Mimi na Mama yangu hatukukumbuka kudai kitu chochote cha Mzee, nikawa kila nikipanga kufuatilia najikuta nasahau au napotezea.

Nikienda kutafuta msaada kwa mwanasheria ujue sirudi tena pale tu nikimueleza matatizo yangu, yaani inakuwa hivyo, mpaka nilipokuja kugundua kuna tatizo.

Nilienda kwa Baba mdogo na kumuelezea hiyo shida yangu, ndipo alipochukua simu yake na kumpigia mtu aliyeniambia anaitwa Dr. Kiwanga, alitufanyia dawa zake na kutumbia yule mwanamke aliyezaa na Baba watoto wawili ndiye amefanya ushirikina ili kuchukua mali hizo.

Tulimuomba aondoe ushirikina huo na kweli akafanya hivyo, nilirudi nyumbani na kuchukua baadhi ya mali ambazo Baba aliandika kuwa ni zangu bila kizuizi chochote kile.

Kumbuka Dr. Kiwanga ana uwezo kumfanya mtu kuwa na bahati maishani mwake, kushinda katika michezo ya bahati nasibu, kukukinga na maadui zako, kukufanya ushinde migogoro kama ya ardhi, kuwa na mvuto wa kimapenzi, kuongeza mauzo katika biashara.

Pia anatibu magonjwa kama Kaswende, Kisonono, Kifua Kikuu, Presha na mengine mengi, kwa mawaziliano zaidi mtumie barua pepe; kiwangadoctors@gmail.com, tembelea tovuti yake; www.kiwangadoctors.com au piga simu +254 769404965.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news