Balozi Nchimbi:Misri kuna soko kubwa la korosho na viungo (spices), Watanzania tuchangamke

"Hapa Misri kuna soko kubwa la korosho na bidhaa za viungo ambalo bado hatujalitumia vizuri na hii imelekea Watanzania kutapeliwa na makampuni yasiyotambulika, rai yangu wazitumie zaidi ofisi za Balozi, sisi tupo kuwatumikia wao kwenye hili ni wajibu wetu na tunalipwa mshahara kwa ajili ya hili;

Post a Comment

0 Comments