🛑LIVE: Rais Samia akishiriki hafla ya utiaji saini Mkataba Ujenzi wa SGR Tabora-Isaka

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA SAMIA SULUHU HASSAN AKISHIRIKI HAFLA YA UTIAJI SAINI MKATABA WA UJENZI WA RELI YA KISASA (SGR) SEHEMU YA TABORA HADI ISAKA KILOMITA 165 NJIA KUU NA KILOMITA 35 NJIA ZA KUPISHANA. HAFLA YA UTIAJI SAINI INAFANYIKA MUDA HUU KATIKA UKUMBI WA KIKWETE, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO JUMATATU JULAI 04, 2022.

Post a Comment

0 Comments