Mwanafunzi Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo ang'ara Afrika

NA DIRAMAKINI

"Menejimenti pamoja na uongozi wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo unapenda kumpongeza Bw. Innocent James, mwanafunzi wa Shahada ya Sayansi katika Usimamizi wa Mazingira, mwaka wa tatu. Ambaye ameibuka mshindi wa pili katika Mashindano ya Kimataifa ya Tisa ya Uandishi wa Insha yalioandaliwa na kuratibiwa na Shirika la Uandaaji viwango Afrika (ARSO);

Post a Comment

1 Comments