Viongozi wakutana nchini Italia kwenye majadiliano kuhusu Ujenzi wa Amani Afrika na Dunia


Kutoka kushoto ni Kgalema Motlante (Rais Mstaafu Afrika Kusini), Tendai Biti (Naibu Kiongozi wa CCC Zimbabwe) Zitto Kabwe (Kiongozi wa ACT Wazalendo), Ian Khama (Rais Mstaafu wa Botswana), Tundu Lissu (Makamu Mkt wa CHADEMA), Olesegun Obasanjo (Rais Mstaafu wa Nigeria), Haile Mariam Desalegn (Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia), Robert Kyagulanyi (Bobi Wine), Kiongozi wa NUP Uganda viongozi hao wanakutana Lake Como, nchini Italy kwenye majadiliano (retreat) kuhusu Ujenzi wa Amani Afrika na Dunia.

Post a Comment

0 Comments