Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Julai 29,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2328.31 na kuuzwa kwa shilingi 2352.06 huku Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2293 na kuuzwa kwa shilingi 2315.93.
Hayo ni kwa mujibu wa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Julai 29, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Franka ya Burundi (BIF) inanunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21 huku Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) ikinunuliwa kwa shilingi 624.30 na kuuzwa kwa shilingi 630.49.

Randi ya Afrika Kusini (ZAR) inanunuliwa kwa shilingi 137.26 na kuuzwa kwa shilingi 138.59 huku shilingi ya Kenya (KES) ikinunuliwa kwa shilingi 19.32 na kuuzwa kwa shilingi 19.48.
Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2782.09 na kuuzwa kwa shilingi 2811.77 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 9.17 na kuuzwa kwa shilingi 9.69.

Yuan ya China (CNY) inanunuliwa kwa shilingi 339.96 na kuuzwa kwa shilingi 343.22 huku Yen ya Japan (JPY) ikinunuliwa kwa shilingi 16.99 na kuuzwa kwa shilingi 17.17.
Franka ya Rwanda (RWF) inanunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.27 huku shilingi ya Uganda (UGX) ikinunuliwa kwa shilingi 0.57 na kuuzwa kwa shilingi 0.59.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news