Wamiminika banda la Barrick kujifunza uchimbaji wa madini, teknolojia

NA DIRAMAKINI

KAMPUNI ya madini ya Barrick, inashiriki katika Maonesho ya 46 ya Kimataifa ya Biashara yanayoendelea jijini Dar es Salaam, ambapo moja ya kivutio kikubwa kwa wageni wanaotembelea banda lake lililopo katika banda la STAMICO ni maelezo kuhusiana na uchimbaji madini kwa kutumia teknolojia za kisasa za kimataifa sambamba na uzingatiaji wa usalama katika maeneo yake ya kazi.
Afisa Utawala wa Barrick Tanzania ,Boniface Mlenga, akitoa maelezo juu ya huduma za Kampuni kwa wakazi wa Dar es Salaam waliofika kwenye banda la kampuni kwenye maonesho ya Saba saba.
Afisa Utawala wa Barrick Tanzania ,Boniface Mlenga, akitoa maelezo juu ya huduma za Kampuni kwa wakazi wa Dar es Salaam waliofika kwenye banda la kampuni kwenye maonesho ya Saba saba.
Afisa uhusiano wa Barrick Tanzania, Abella Mutiganzi , akitoa maelezo juu ya huduma za Kampuni kwa wakazi wa Dar es Salaam waliofika kwenye banda la kampuni kwenye maonesho ya Saba Saba
Wageni mbalimbali waliotembelea banda la maonesho ya Barrick wakipatiwa maelezo ya shughuli za kampuni.

Baadhi ya wafanyakazi wa Barrick waliopo katika maonesho hayo katika picha ya pamoja.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news