Wanaohama kwa hiari Ngororongoro kwenda Msomera mambo mazuri, makatibu wakuu na kamati wateta

Meza kuu wakifuatilia uwasilishwaji wa hoja wakati wa kikao cha Makatibu Wakuu na Kamati Tendaji cha kujadili uboreshaji wa huduma mbalimbali za kijamii kwa wananchi wanaohamia kwa hiari katika kijiji cha Msomera Wilaya ya Handeni Tanga wakitokea katika eneo la Hifadhi ya Ngorongoro. (PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU).
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Bw. Kaspar Mmuya akiongoza kikao cha Makatibu Wakuu na Kamati Tendaji cha kujadili uboreshaji wa huduma mbalimbali za kijamii kwa wananchi wanaohamia kwa hiari katika kijiji cha Msomera Wilaya ya Handeni Tanga wakitokea katika eneo la Hifadhi ya Ngorongoro. 
Baadhi ya wajumbe wakifuatilia kikao hicho.
Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za posta Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya HabariBi. Caroline Kanuti akifafanua jambo.
Meneja RUWASA Mkoa wa Tanga Mhandisi Upendo Omary akieleza mikakati ya kuendelea kuhakikisha huduma ya maji inaboreshwa katika Kijiji cha Msomera wakati wa kikao hicho.
Mkuu wa Wilaya ya Handeni Mhe. Siriel Mchembe akizungumza wakati wa kikao hicho.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Jim Yonazi akichangia jambo kuhusu uboreshaji wa miundombinu ya mawasiliano katika kijiji cha Msomera wakati wa kikao hicho.
Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo Bw. Tixon Nzunda akizungumza jambo wakati wa kikao kikao cha Makatibu Wakuu na Kamati Tendaji cha kujadili uboreshaji wa huduma mbalimbali za kijamii kwa wananchi wanaohamia kwa hiari katika kijiji cha Msomera Wilaya ya Handeni Tanga wakitokea katika eneo la Hifadhi ya Ngorongoro Julai 7, 2022.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Allan Kijazi akifafanuya jambo wakati wa kikao hicho.
Katibu Mkuu TAMISEMI Prof. Riziki Shemdoe akieleza jambo wakati wa kikao cha Makatibu Wakuu na Kamati Tendaji cha kujadili uboreshaji wa huduma mbalimbali za kijamii kwa wananchi wanaohamia kwa hiari katika kijiji cha Msomera Wilaya ya Handeni Tanga wakitokea katika eneo la Hifadhi ya Ngorongoro.Kikao kilifanyika tarehe 7 Julai, 2022.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news