Ziara ya Waziri Mkuu wilayani Ruangwa

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi wa kijiji cha Mandawa wilayani Ruangwa akiwa katika ziara ya kikazi wilayani humo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasha Lori lenye thamani ya shilingi milioni 110 baada ya kulikabidhi kwa kikundi cha vijana wa kijiji cha Mandawa wilayani Ruangwa ili walitumie katika mradi wao wa kufyatua matofali. Alikuwa katika ziara ya kakazi wilayani humo. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua lori alilolikabidhi kwa kikundi cha vijana cha Mandawa wilayani Ruangwa akiwa katika ziara ya kikazi wilayani humo, Julai 8, 2022. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Telack na kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Ruangwa, Frank Chonya.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news