Waziri Mkuu awakabidhi vijana mashine ya kufyatulia matofali


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mashine ya kufyatua matofali aliyoikabidhi kwa kikundi cha vijana cha kijiji cha Mandawa wilayani Ruangwa Julai 8, 2022. Shilingi Milioni 25 za kununua mashine hiyo zimetolewa kwa mkopo kwa kikundi hicho na halmashauri ya wilaya Rungwa. Wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Telack na watatu kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa wilaya ya Ruangwa, Frank Chonya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Post a Comment

0 Comments