LIVE:RAIS SAMIA AKIZINDUA MRADI WA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA CHUO CHA UALIMU CHA MPUGUSO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua mradi wa uboreshaji wa miundombinu ya Chuo cha Ualimu cha Mpuguso leo Agosti 7, 2022 mkoani Mbeya.

Post a Comment

0 Comments