Simba SC yafanya kubwa kuliko, yatambulisha jezi zenye hadhi ya Kimataifa


Matajiri wa awali katika soka la Bongo kwa uwekezaji uliotoa mvuto kwa wengine, Simba SC wametambulisha rasmi uzi mpya ambao utatumika kwa msimu huu. Uzi huo unatajwa kuwa na viwango vya hali ya juu na hadhi ya Kimataifa ambapo kwa sasa unapatikana rasmi katika maeneo elekezi nchini.

Post a Comment

0 Comments