Muonekano wa Barabara ya Njombe-Makete kilomita 107.4 ambayo imefunguliwa rasmi na Rais Samia

Muonekano wa Barabara ya Njombe-Makete kilomita 107.4 ambayo imefunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan katika hafla iliyofanyika Makete mkoani Njombe leo Agosti 9, 2022. (Picha na Ikulu).

Post a Comment

0 Comments